ITV HABARI: NAULI ZA DALADALA ZAPANDA KWA ZAIDI YA 24%, MABASI YA MIKOANI 13%.
Mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA imepandisha
nauli za daladala kwa zaidi ya asilimia 24 huku mabasi ya kwenda
mikoani nauli yake ikipanda kwa kati ya asilimia 13 hadi 20
kwa mabasi ya daraja la juu ambapo bei hizo mpya zitaanza rasmi
Aprili 12 mwaka huu.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA