"I'M SINGLE" - NISHER BYBEE - BRAND NEW SINGLE.
Ni yule director wa video anayesumbua kwa sasa kwa kutengeneza video kali ndani ya "255" Bongo, anayekwenda kwa jina la "Nisher Bybee" mwenye maskani yake kule jijini Arusha, sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "I'm Single".
ISIKILIZE HAPO CHINI
-
Kwa wale msiomjua Nisher, yeye ni msanii wa muziki most "RnB" na pia ni producer wa muziki (Audio) na zaidi pia ni Director anayetamba na ngoma za video alizotengeneza za wasanii kama "Gentriez Mwakitabu, Joh Makini, Belle 9 na wengineo na kwasasa anatengeneza video ya wimbo wa "Mama Yeyoo" wa G NAKO.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA