ITV HABARI: ZAIDI YA WATU 17 WAMEFARIKI DUNIA KWA KUDONDOKEWA NA KIFUSI - ARUSHA.
Zaidi ya watu kumi na saba wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada
ya kudondokewa na kifusi cha udongo katika machimbo ya mchanga na
kokoto ya Moshono manispaa ya Arusha.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA