Header Ads

Breaking News
recent

MSANII "JAYKAH" KUTOKA MOMBASA - KENYA AKIMSHIRIKISHA "DOUBLE K" - "HISIA ZA MOYONI" (AUDIO).

Msanii Jaykah
Mpokeeni msanii kutoka Mombasa Kenya anayekwenda kwa jina la Jaykah.

 Msanii huyu mwenye maskani yake kule Mombasa anadrop ngoma yake mpya inayoitwa "HISIA ZA MOYONI" akiwa amemshirikisha msanii "Double K", huku studio akiwa ni producer "Tee".
Kwa sasa msanii huyu ananyimbo tano alizokwisha ziachia na wimbo mwingine uko bado jikoni, ila soon utausikiliza hapa hapa. Jamaa yuko katika harakati za kuachia video yake ya wimbo wa "Hisia Za Moyoni" ambapo amesema kufikia tarehe za  mwanzoni mwa mezi wa tano itakuwa tayari.

Haya ndio maneno aliyosema mwenyewe hapa chini....

"Nina ngoma tano pamoja na hii mpya ambayo ipo jikoni inatayarishwaa.. ipo ngomaa mpyaa nimemshirikisha DOGO ALLY. Chini ya studio za TEE HITZ NA PRODUCER TEE. NITAIWACHIA MWENZI WA TANO TAREHE MBILI MAFANS WAISUBIRIE KAMA VIPI. Af na na video ya wimbo wangu wa HISIA ZA MOYO. Upo jikon soon wataniona kwenye kichupa"

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.