Header Ads

Breaking News
recent

"WAY BACK HOME" NI TAMTHILIA MPYA ILIYOCHEZWA NA MASTAA WA TAMTHILIA YA "MARA CLARA".

 
Mara na Clara ni mastaa wa tamthilia ya "Mara Clara" kama tunavyoona Star TV, lakini kwa sasa wameachia Tamthilia nyingine inayokwenda kwa jina la "WAY BACK HOME" inayozungumzia mambo ya kifamilia, upendo na msamaha, mastaa hao juu ni miongoni mwa washiriki wakuu wa Tamthilia hiyo. Sasa tazama Utangulizi waliokwisha uachia hapo chini.
 
Don't forget to watch "Way Back Home" this #BlackSaturday tonight at 9:30pm. First time on ABS-CBN and one of their Holy Week Special!
A story about Family, Forgiveness and Love that finds its Way Back Home.. Starring Enrique Gil, Sam Concepcion, Kathryn Bernardo and Julia Montes!

WAY BACK HOME cinema trailer

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.