TANGANYIKA GIRL & RESPECT za SAT-B - NI DANCEHALL BANGER ZA HATARI.
Mambo vipi wadau,
Pata ngoma mpya hii.
Sikiliza ngoma mpya TANGANYIKA GIRL
& RESPECT za SAT-B, WASHINGTON & J.I. Nyimbo zote zimefanyika Bukiv
Label ya Djay Jackson na kutengenezwa na Washington jijini Stockholm nchini
Sweden. Ni dancehall Banger za hatari sanaaa. Enjoy ngoma izi kwa kuzisikiliza
na kuzipakua hapa: www.hulkshare.com/upload_legacy.php
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA