SIKU YA MWISHO YA PAPA BENEDICT WA 16.
Papa ameahidi kumheshimu mrithi wake
Papa Benedict amewaambia makadinali kadhaa kwamba atamuheshimu na kumtii mrithi wake.
Papa Benedict amesema anatarajia kuwa Mungu atawaongoza na kuwalelekeza kuhusu nani hasa anastahili kuwa mrithi wake.
Baadaye kila kadinali aliyekuwepo mahali pale alimbusu Papa Benedict mkononi kama ishara ya kumuaga.
VIA - BBC
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA