Header Ads

Breaking News
recent

PICHA MPYA ZA "SHAKIRA" BAADA YA KUJIFUNGUA.

 Huu ndio muonekano wa mwanamuziki Shakira tokea ajifungue mtoto Milan Gerard Piqué takribani wiki tano zilizokwisha pita.
Shakira akiwa amembeba mtoto wake Milan katika moja ya mechi ya Barcelona, ambapo baba wa mtoto Milan yani Gerard Piqué alikuwa akichaza na hivyo mtoto wake alishuhudia baba akifunga bao la ushindi kwa timu hiyo.

Shakira akionekana kuwa na furaha baada ya bao hilo kupachikwa nyavuni, aliandika mtandaoni maneno haya.....
“His first official time going out, in Camp Nou and watches his daddy score!”

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.