MTINDO MPYA WA KUPAKA "MAKE - UP" KWA WANAWAKE.
Kama ulikuwa huamini kuwa mdomo wa binadamu unaweza kufanana na "Aple" basi hapa itabidi uamini tu.
Pia kama hukuwahi kufikilia kuwa kuwa mdomo wa binadamu unafanana na jicho, basi yape nafasi macho yako ili yashuhudie ubunifu huu wa mwana mama "Sandra".
Kuona ubunifu wa mwanamama huyu Sandra fungua hapa.......Visit psychosandra.blogg.se

Hapa katupia kitu cha Strawberry.
Kuona ubunifu wa mwanamama huyu Sandra fungua hapa.......Visit psychosandra.blogg.se
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA