Header Ads

Breaking News
recent

PICHA KATIKA MATUKIO MBALI MBALI NDANI YA KILIMANJARO MARATHON 2013.

 Mabanda ya vyombo vya habari yalikuwa ni ya CHOiCE FM (102.5) na Clouds FM katika uwanja wa Ushirika Moshi siku ya mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2013.

 Hapa ndipo palikuwa patamu, nyama choma ya mbuzi na kuku ilikuwa ikianzia hapa kuliwa na umati wengi wa watu waliokuwa wakihudhulia mashindano ya mbio za Kilimanjaro Marathon 2013 katika uwanja wa Ushirika Moshi.

 Hapa ndio sauti  yote ya Kilimanjaro Marathon 2013 katika uwanja wa Ushirika Moshi ilipokuwa ikianzia.

 Vongozi wa serikali na michezo wakielekea kupanda jukwaani kutoa tuzo kwa washindi wa Kilimanjaro Marathon 2013 katika kiwanja cha Ushirika Moshi.

Vtuko katika umati wa watu hakika havikosi kama unavyowaona vijana hawa wakitoa burudani kupitia sura ya fuvu la binadamu na mwingine uso wa nyani. Burudani hii ilipamba moto kwa watu wengi lakini kwa watoto iligeuka kuwa vilio mara baada ya kukutana uso kwa uso na watoto wengi.

Picha na Victor Machota.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.