Rapa wa kike mwenye umri wa miaka
30 sasa maarufu kama
Nicki Minaj, ameachia picha nyingine kupitia mtandao wa Tweeter zinazomuonyesha akiogelea. Picha hizo zimechukuliwa kwaajili ya wimbo mpya alioshirikiana na masanii
Lil Wayne huku ngoma yenyewe ikijulikana kama
"High School".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA