MSHINDI WA MBIO ZA KILIMANJARO HALF MARATHON (2013) KWA WANAUME KUTOKA KENYA AZUNGUMZA NA ASILI YETU TANZANIA BLOG.
SYLLAS K - kutoka Kenya Mara baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya ushindi wa mbio za Kilimanjaro Half Marathon "Asili Yetu Tanzania blog" ilichonga naye mawili matatu kuhusiana na ushindi huo wa kuwa namba moja katika mbio hizo.
Hapa ni sauti yake akihojiwa na mwandishi wa habari Victor Machota, msikilize hapo chini.
Hapa ni sauti yake akihojiwa na mwandishi wa habari Victor Machota, msikilize hapo chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA