AJALI YA BASI "KIEGEA GAIRO" - MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE 11 KUJERUHIWA. (ITV HABARI).
Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na 11 wamejeruhiwa katika ajali
ya basi la kampuni ya Muhamed Trans likitokea Dar es salaam kwenda
Dodoma baada ya kupata ajali katika eneo la Kiegea Gairo barabara ya
Morogoro Dodoma .
VIA - ITV TANZANIA.
VIA - ITV TANZANIA.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA