Header Ads

Breaking News
recent

GENTRIEZ OFFICIAL FACEBOOK FAN PAGE - "LIKE" NA KUMJUA MSANII HUYU WA HIP HOP KUTOKA ARUSHA.

Tembelea ukurasa wa Facebook wa msanii wa miondoko ya Hip hop GENTRIEZ MWAKITABU kutoka Arusha. Katika page yake utapata kuangalia video zake pamoja na baadhi ya ngoma zake zinazofanya vizuri katika radio na TV.

Pia anamchongo wa T Shirts za "ARUSHA BOY" ambapo kupitia fan page yake inayokwenda kwa jina la GENTRIEZ utapata jinsi ya kuzikamata T Shirts hizo sehemu yoyote uwapo.
 SASA BONYEZA HAPA "GENTRIEZ".

Nitapiganaye story kibao ili ajibu tetesi nyingi  zilizo zagaa mtaani na katika mitandao ya blogs na Facebook, Je ni tetesi gani hizo? Fuatilia hapa hapa Asili Yetu Tanzania Blog.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.