Mtangazaji
wa kipindi cha Planet Bongo Abdallah Ambua (Dullah) ambaye kwa bahati
mbaya leo asubuhi wakati anaelekea kazini kufanya kipindi amepata ajali
ya gari.
Abdallah amesema amepata ajali hiyo akiwa maeneo ya
Magomeni katika mataa lakini yeye anaendelea vizuri ila tu gari yako ndo
imeharibika vibaya.
Pole sana mjukuu wa Ambua kwa kupata ajali.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA