Baada ya mastaa hawa kuficha uhusiano wao kwa muda mrefu sasa, siri imefichuka kuwa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz ataitwa baba ikiwa ni baada ya mpenzi wake anaeitwa Penny kuwa na ujauzito wa msanii Diamond.
MSIKILIZE SUDI BROWN WA "U HEAD" AKIZUNGUMZA NA DIAMOND.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA