Header Ads

Breaking News
recent

WEMA SEPETU ACHUKUWA FOMU YA KUIWAKIRISHA TANZANIA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA.


Taarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai kuwa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu alikuwa katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu.

Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed Mohamed aka TID.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.