PICHA ZA TUKIO LA BIRTHDAY YA MISS TANZANIA 2001 "HAPPINESS MAGESE" NEW YORK MAREKANI.
PICHA za tukio la ‘bethidei’ ya mwanamitindo maarufu wa
Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2001, Millen Magese ‘Happiness’ iliyofanyika
hivi karibuni huko New York, Marekani, ilikuwa ni kufuru tupu.
Kupitia mtandao wa Instagram, modo huyo ambaye makazi yake ni Afrika Kusini ‘Sauzi’, aliwashukuru wadau mbalimbali kwa kumpa sapoti ya kutosha kwenye tukio hilo ambalo lilipewa jina la Birthday to Remember With Super Modal Millen and Friend.
“Nawashukuru sana jamani, bethidei yangu ilikuwa baab’kubwa hivyo asanteni wote,” aliandika Millen mtandaoni.
Picha kwa hisani ya mtandao wa Global Publishers

Katika pati hiyo, watu walijiachia kwa misosi kiwango,
vinywaji vya bei mbaya na kuserebuka muziki huku wakishindwa kuamini kama ni
mrembo huyo aliyeamua kuangusha sherehe hiyo.
Picha kwa hisani ya mtandao wa Global Publishers

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA