Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA VICHEKESHO NCHINI "MATUMAINI" HALIYAKE YAZIDI KUWA MBAYA.

MATUMAINI
Hali ya msanii wa vichekesho nchini Tumaini Martin 'Matumaini' imezidi kuwa mbaya huko nchini Msumbiji alikoenda kwaajili ya kusaka maisha.

Msanii huyo hadi sasa ameshindwa kurejea nchini Tanzania kutokana na kukosa nauli ya Tsh. Milioni moja (1,000,000/=) ambayo inasemekana ndiyo nauli ya kutoka Msumbiji kuja Dar kutokana na hali yake ya ugonjwa.

Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi.

Source: East Africa Radio
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.