Header Ads

Breaking News
recent

ITV HABARI: WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE WAKIDAI MAAMUZI YA SPIKA YANAELEMEA UPANDE MMOJA.


Wabunge wa kambi ya upinzani bungeni wamekitunishia misuli kiti cha Spika kwa kutoka nje kwa kile walichodai kuwa kiti hicho kimekuwa kikitoa upendeleo wa wazi kwa kuubeba upande wa serikali.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.