Header Ads

Breaking News
recent

MSANII DRAKE KUACHIA WIMBO MPYA KABLA YA TUZO ZA GRAMMY KUFANYIKA MWEZI HUU.

Msanii Drake ameaandaa wimbo maalum kwa mashabiki wake atakaouachia siku chache kabla ya tuzo za mwisho wa mwaka za Grammy za 55 kufanyika.

Rapa huyo mcanada amepanga kuuimba wimbo huo rasmi mbele ya mashabiki wake katiza tuzo za Gammy zitakazofanyika  February 10 mwaka huu, Billboard imefunguka.

Gazeti moja nchini humo rimeelezea kuwa wimbo huo mpya wa msanii Drake umepewa jina la "Started from the Bottom" ikiwa ni single mpya tokea msanii huyu a hit mwaka 2011 alipoachia album iliyokwenda kwa jina la "Take Care". Album hiyo iliuza kopi milioni 1.9 huku ikishika chati ya juu za R&B/Hip-Hop Albums  kwa wiki 12 mfurulizo.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.