KANISA LA CHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA UNGUJA ZANZIBAR.
#Breaking
News:Kanisa moja limechomwa moto Visiwani ZNZ alfajiri ya leo na kwa
Mujibu wa Kamishna wa polisi mjini MUSA ALI MUSA ,baadhi ya viti vya
kanisa vimeungua na kwamba moto huo uliwahiwa kuzimwa kabla ya
kusababisha madhara zaidi.Kwa taarifa zaidi endelea kuangalia ITV na
Kusikiliza Radio One
Muendelezo wa Habari ya kuchomwa kanisa
ZANZIBAR:Kamishna wa Polisi Kusini Unguja,AUGUSTINO OLOMI amethibitisha
kuwa kanisa lilichomwa moto ni Kanisa la SHALOM.
Sisi WAKRISTO wao WAISLAMU,tumerudi huko kweli,that's just sad
ReplyDelete