Header Ads

Breaking News
recent

SERIKALI IMETANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE - ITV HABARI.

Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Octoba mwaka jana huku kiwango cha ufaulu kikishuka ikilinganishwa na mwaka juzi ambapo zaidi ya watahiniwa laki mbili wamepata daraja sifuri kati ya watahiniwa 456,137 waliofanya mtihani huo.

BONYEZA HAPA MATOKEO KUONA MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2012.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.