HATIMAE JANET JACKSON AOLEWA RASMI.
Dada wa mfalme wa pop Janet Jackson inasemekana tayari amekwisha olewa na mfanyabiashara mwenye mkwanja mrefu Wissam Al Mana tokea mwaka jana.
Ndoa hiyo imeelezwa kuwa na usiri mzito, kitu kilichofanya wanahabari sasisanukie ishu hiyo. Lakini pia story na rekodi kwa upande wa msanii Janet Jackson mwenye umri wa miaka 46 sasa zinaonyesha kuwa alikwisha olewa mara tatu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA