Header Ads

Breaking News
recent

TGP FT. MOPLUS & CATRINA - MILLION MOJA (AUDIO).


TGP, Kundi kongwe la muziki wa hiphop laachia ngoma mpya wakiwa Frost aka Djibril na Snuz wakishirikiana na Moplus & mwanadada Catrina katika ngoma MILION MOJA juu ya beat ya Dj Azard pande za www.noizmekah.com chini ya mix yake DefXtro.

  Pata kusikiliza ngoma hiyo HAPA na kwa mawasiliano ya mahojiano na TGP check nao kupitia +255 765 544491 au +255 713 064 405

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.