Mwanamuziki Chris Brown amejikuta akiingia mwenyewe katika msemo unaosema "mshika mbili moja humponyoka" baada ya Mpenzi wake Rihanna kuondoka mwenyewe Club ya usiku dakika 10 kabla ya Chris kuondoka Club hapo.
Chris Brown alijikuta akilengwa lengwa na machozi baada ya kujikuta akiwa mwenyewe club bila mpenzi wake Rihanna, lakini hiyo ilikuwa ni ndogo tu, kubwa zaidi mpenzi wake walioachana hivi karibuni Charrueche pia alionekana Club hapo na mwanaume mwingine ambae alionekana kushika nafasi ya Chris vilivyo.
Chris aliamua kuchukua usafiri inje ya club huku akionekana mwenye mawazo huku akilengwa na machozi. Picha hizo hapo chini ndivyo mkasa ulivyotokea.
Mpenzi wa zamani wa Chris Brown - Charrueche akiwasili ukumbini.
 |
| Rihanna akiondoka club dakika 10 kabla ya Chris Brown. |
 |
| Karrueche akionekana na mwanaume mpya club. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA