Hii itakuwa ni Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza
sauti na kuendesha show Ya redio kwa masaa mawili... Maybe hii itakuwa ni
mwanzo wa sauti yake kusikika redioni....
Source: Martin Kadinda Blog
WEMA SEPETU AKIENDESHA KIPINDI CHA TOP 20 NDANI YA RADIO CHOICE FM 102.6 KUANZIA SAA 9 MPAKA 5 JIONI!
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, January 05, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA