WATU WANNE WAJERUHIWA, MAGARI 24 YAHARIBIWA KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO. ITV
Watu wanne wamejeruhiwa,huku magari madogo zaidi ya 24 ya watu binafsi
yakiharibiwa vibaya katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi za
jirani cha Ubungo jijini Dar-es-salam baada ya kuangukiwa na ukuta.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA