PICHA ZA KIM KARDASHIANI AKIWA IVORY COST - AMBAPO PIA ALIIMBA.
Kim Kardashian mwenye mimba ya miezi mitatu, akiimba karaoke ndani ya Star Nightclub, Abidjan nchin Ivory Cost usiku wa Jumapili.
Kim alisindikizwa na marafiki zake airport wakiwa wameshikilia maua, huku wakiwa ndani ya gari.
Kim alitupia ujumbe katika mtandao wa Tweeter kuwa “We out here Abidjan Côte d’Ivoire Thanks for everything Guyzo people!”
Kim akiwa nchin Ivory Cost alitembelea kituo cha watoto yatima kabla ya kuondoka siku ya Jumapili.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA