BEYONCE AKIIMBA WIMBO WA TAIFA MBELE YA WATU 700,000 WAKATI WA KUAPISHWA KWA RAIS BARACK OBAMA.
Kwa mujibu wa gazeti la "The Sun" Barack Obama ameapishwa kwa mara ya pili kuiongoza Marekani kwa kipindi kingine.
Baadhi ya hotuba yake aliyoitoa mbele ya umati wa watu takribani 700,000 waliohudhulia kiapo hicho, Rais Obama alisema.."Safari yetu haijaishia hapo, hadi tutakapo ona kaka na dada zetu mashoga wakipewa haki sawa katika sheria ya Marekani kama watu wengine".. He said: “Our journey is not complete until our gay brothers and sisters are treated like anyone else under the law.”
Beyonce akiimba wimbo wa taifa la Marekani wakati wa kuapishwa kwa rais Obama, huku Obama mwenyewe akiwa ameweka mkono kifuani.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA