WASANII WA NIGERIA WANG'ARA KATIKA TUZO ZA 'KORA'.
Mwaka wa 2012 umewaendea vizuri wasanii wa kinigeria kote duniani hasa wa muziki, ikiwa ni baada ya msanii DAVIDO na CHIDNMA kufanya vizuri katika tuzo za KORA (Awards) zilizofanyika December 30, 2012 huko Abidjan, Ivory Coast.
Nigeria ilionekana kutamba katika tuzo hizo ambapo msanii 'Dami Duro' ambaye hakuweza kuhudhuria tuzo hizo, alinyakua tuzo ya msanii bora wa kiume anayechipukia 'Best Male Newcomer', naye msanii 'Chidinma' alitwaa tuzo ya 'Best Female West African Act' ambapo mwanadada huyu alipokea tuzo yake kutoka kwa mchezaji wa zamani wa timu Chelsea na nahodha wa timu ya taifa ya Ivory Cost ,Didier Drogba'.
Tuzo hizo za KORA zilifanyika sikumoja baada ya siku iliyokuwa imepangwa kufanyika, kufuatiwa ujio wa msanii aliyekuwa amealikwa kupiga show kuchelewa ndege. Chris Brown ndiye msanii aliyekuwa akisubiliwa kuangusha gambe pande hizo, huku akiambatana na mpenzi wake wa zamani Rihanna.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA