Header Ads

Breaking News
recent

WASANII 10 MAARUFU WA MUZIKI NCHINI NIGERIA WALIOTAJWA NA 'GOOGLE' KWA KUFANYA VIZURI KWA MWAKA MZIMA WA 2012..

Davido
Ni kawaida kwa baadhi ya wasanii kufanya vizuri na wengine kuboronga kwa mwisho wa mwaka, lakini katika mtandao wa Google wasanii hawa maarufu wa muziki kutoka nchini Nigeria, wametajwa na mtandao wa Google kuwa ndio walioongoza kutafutwa na watumiaji wa Google.

10. Asa
9. Flavour
8, Tuface
7. Tiwa Savage
6. Ice Prince
5. Timaya
4. P Square
3. D'banj
2. MI and
1. Davido.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.