PICHA ZA TONTO DIKEH WAKATI AKISHUTI WIMBO WAKE WA VIDEO.
Mwana dada huyu maarufu sana katika tasnia ya filamu kutoka Nollywood maarufu kama Tonto Dikeh, alianza kujiingiza katika sanaa ya muziki kidogo kidogo, lakini sasa amedhihirisha kuwa anaweza ambapo ameshadondosha mawe kibao pamoja na video shooting anazotengeneza kwa sasa. Tonto ataendelea kushuti video za nyimbo nyingine weekend hii.
![]() |
| Tonto Dikeh |




No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA