Member wa zamani wa Ruff Ryders EVE baada ya kimya bila kuachia album kwa
miaka takribani 10 sasa amerudi tena kuonesha uwezo wake katika game, na
ameachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa "Bad Bad" kutoka kwenye album yake
inayokuja yenye jina 'Lip Lock'
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA