USHINDI WA FRANCIS CHEKA DHIDI YA MMALAWI ULIHUDHULIWA PIA NA WASANII.
Francis Cheka akinyanyuliwa mkono baada ya kumpatia kichapo mmalawi na kutwaa mkanda wa ushindi kule jijini Arusha.
Wasanii wa kaskazini pia walihudhuria pambano hilo, ambapo wa kwanza kushoto ni Lord Eyez, Fido na Bounako.
Kushoto ni Gadiola ambaye ndiye mmiliki wa blog ya WAZALENDO 25 akifuatilia kwa karibu pambano hilo akiwa sambamba na wasanii kibao wa A TOWN.
Source: WAZALENDO 25 BLOG

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA