Header Ads

Breaking News
recent

"MY BOYFRIEND" - WIMBO MPYA WA 'ZAY B'.

ZAY B
Zay B Zay to the B mwanadada gaidi, ni baadhi ya maneno yaliyowahi kusikika enzi hizo katika hit song yake ya 'Niko Gado' miaka hiyo kutoka kwa Rapper wa kike Zay B. Baada ya kimya cha miaka mingi amerejea tena na wimbo wake mpya 'My Boyfriend', usikilize na kudownload hapa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.