TaifaStars yaanza kujifua kwa mashindano ya Afrika ya February 2013 (HABARI ITV LEO)
Baada ya kuwaadhiri mabingwa wa soka barani Afrika Timu ya Taifa ya Zambia kwa kuichapa bao 1-0, timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajia kurejea kambini Januari 6 kwa ajili ya kujiwinda na mechi za kimataifa za kirafiki dhidi ya timu zitakazoshriki fainali za Afrika zitakazofanyika kuanzia Februari mwakani nchini Afrika Kusini.
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA