Rais Jakaya kikwete,amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA), kwa kurejesha baadhi ya wanyama ambao walianza kutoweka
katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Source: ITV TANZANIA
RAIS KIKWETE AIPONGEZA TANAPA.(HABARI ITV LEO)
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, December 24, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA