Header Ads

Breaking News
recent

MWANAMKE MMOJA AVAMIA CHUMBA CHA HABARI WAKATI MWANA HABARI AKIRIPOTI NA KUROPOKA KUWA "Mimi Ni Dada Wa Jay - Z".

Mwanamke mmoja aliyejitaja kuwa ni dada wa raper wa Rock Nation Jay - Z alivamia chumba cha habari katika kituo cha Luninga cha Channel 4 wakati mtangazaji akiripoti habari na kuropoka nyuma yake kuwa "mimi ni dada wa Jay - Z , alikuwa akinitafuta kwa kipindi kilefu".Hata hivyo bado walibaki njia panda, kwani ukweli bado haujafahamika kuwa, ni kweli yule binti ni dada yake Jay - z??.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.