Chanzo cha habari hii kutoka nchini Nigeria kimeeleza kuwa, muigizaji huyu maarufu ametekwa na watu wasiofahamika leo majira ya asubuhi, ambapo watekaji wamehitaji kiasi cha pesa za kinageria zenye thamani ya milioni 100. Habari zadi hazijapatikana ila zitakapo funguka zaidi utazipata hapa hapa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA