"Blood Of Christ" ni wimbo uliotolewa na msanii GAME kama bonus kwa mashabiki wake kutoka katika album yake mpya inayokwenda kwa jina la "Jesus Piece" huku akionekana kupaka punches za moja kwa moja kwa wasanii; 5o Cent, Lloyd Banks, Tony Yayo, Shyne na Didy.
Ucheki wimbo wenyewe hapa chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA