MSANII DAYNA NYANGE AMETOA SALAMU ZA MWAKA MPYA '2013' KWA WADAU WA MUZIKI.
Mambo vp ndugu zangu.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia maandalizi mema ya mwaka mpya. Mungu
atupe nguvu na neema zaidi ktk mwaka 2013. Mwaka 2012 tutaukumbuka kwa
mengi yapo mema na mabaya.
Mambo vp ndugu zangu. Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia maandalizi mema ya mwaka mpya. Mungu atupe nguvu na neema zaidi ktk mwaka 2013. Mwaka 2012 tutaukumbuka kwa mengi yapo mema na mabaya.
Naomba nikuombe radh wewe kwa lolote ambalo niliwah kukukosea, nawe kama ulinikosea sina tatizo nawe tangu sasa. pia naomba nitoe shukrani zangu kwa wote waliohusika ktk mafanikio yangu ya kimuziki. Naamini wengi mlikuwa mstari wa mbele ktk kunishauri, kunipongeza nahata kunikosoa nilipokosea. Shukrani nying zwafikie radio presenter, dj's, radio na tv zote tz na Afrika naamini bila nyinyi kuzicheza nyimbo zangu, basi nisingefika hapa.

Waandaji wa magaazeti mlikuwa mstari wa mbele ktk kuona
nafika mbali kwa kuandika habari zangu na kufika hata vjijini. Nachukua fursa
kuwashukuru pia. Blogs mbalimbali. Mlikuwa mstari wa mbele kwakuandka habari na
kupost hata baadh ya show zangu ambazo mmenipa heshma ya kufika mbali zaid na
kusikika hata nje ya nch mchango wenu ni mkubwa japo siwez kuwataja wote. Pia
Requester wa media cna cha kuwalipa nawashkuru sana sana na ntabaki kuwaheshmu
kwani mmetoa mchango mkubwa sana kwa kuomba nymbo zangu media na zikachezwa Na
amini ni mchango mkubwa sana ktk game hasa kwetu wasanii Ntabaki kuwaheshimu na
kuwathamini siku zote. Bila kuwasahau wasanii wenzangu walikuwa nami bega kwa
bega ktk kunishauli na kunisaidia kwa chochote.Pia ma dj wa club mbalimbali,
mmekuwa chachu ya mzk wangu pale mlipoonesha ushirikiann wenu kwangu.
Pia Waandaaji wa (show) matamasha madogo na makubwa
nawashukuru sana sana kwa kuniamini na kukubali kufanya kazi na mm Siwasahau
maproducers wa video na Audio na studio mbalimbali kwa kunifanyia kaz za
uhakika na jamii ikanikubali kwa kazi hzo. Wote kwa pamoja naamini sasa ni kama
ndugu. Nawaomba muonyeshe tena moyo huwo na mwaka ujao na mingine kwani kaz
nzur ni yenye kushirikiana. Msisite kama ntawakosea naomba msisite kunikanya na
kunisamehe. Napenda wote na kuwajali. Nawatakia mwaka mpya.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA