MOVIE MPYA YA 'DEATH AFTER BIRTH' ILIYOCHEZWA NA 'JACKIE APPIAH' KUTOKA GHANA
'Death After Birth' ni movie ambayo iko mbioni kuachiwa ambapo movie hii imechezwa na mwanadada Jackie Appiah raia wa Ghana na maarufu anayeshikilia tuzo kibao za uigizaji kutoka Nollywood na huko nchini kwao Ghana.
Movie hii imeonekana kuwa gumzo huko nchini Ghana ambako ndiko mwanadada huyu anapotokea, eti baada ya vipande vya movie hiyo kuchomolewa vikimuonyesha mwanadada huyu akiwa katika mambo ya kikubwa.Mwanadada huyu aliyeingia katika kashfa nzito, sasa anafanya kilaliwezekanalo ili aweze kulinda heshima yake kutokana na kashfa hiyo.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA