Baadhi ya vibanda na mali za wafanyabiashara katika soko la Mabibo
jijini Dar Es Salaam vimeteketea baada ya kuzuka moto sokoni Hapo
unaodaiwa kusababishwa na jiko la gesi.
MOTO WATEKETEZA MALI KATIKA SOKO LA MABIBO.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, December 02, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA