Wakati mvua zinazoendelea kunyesha na kuonekana kuwa ni faraja kubwa kwa
wakulima hali haikuwa hivyo kwa wakazi wa Mjimkongwe baada ya
kushuhudia mvua hizo zikisababisha jengo maarufu la makumbusho la
Zanzibar Beit-Al- Ajab kuanguka sehemu moja na Kusababisha hasara kubwa
kwa serikali na raia.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA