Header Ads

Breaking News
recent

MCHEZA FILAMU MAARUFU "TONTO DIKE" AMEPANGA KUACHIA ALBUM YA MUZIKI.

NYOTA wa filamu kutoka Nigeria maarufu kama Tonto Dike ambaye ameonekana kuwa na kipaji pia cha muziki, amefunguka kuwa anajiandaa vyema kuachia album ya nyimbo zake.

Mrembo Dike, hivi karibuni aliachia nyimbo zake mbili October, 2012.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.