Header Ads

Breaking News
recent

HABARI ITV: Watu 2 wafariki dunia 11 wajeruhiwa katika ajali Mbeya.


Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa vibaya baada ya lori kugonga na kuparamia Hiace mbili kwa wakati mmoja katika eneo la njia panda Itende jijini Mbeya.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.