ITV HABARI: Wanafunzi wawili wa chuo cha KCMC wavamiwa na kupigwa na Majambazi.
Wanafunzi wawili wa chuo kikuu kishiriki cha Tiba cha Kikristo Kilimanjaro - KCMC wamenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kupigwa Risasi na kujeruhiwa na mapanga na watu wanaosadikiwa ni majambazi katika nyumba wanazoishi katika eneo la Longuo B
poleni watanzania wenze2 mungu atawaxaidia.
ReplyDelete