TAYLOR SWIFT NA JUSTIN BIEBER WAONGOZA TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC 2012.
Jana usiku tuzo za MTV Europe Music zimetolewa jijini Frankfurt, Ujerumani.
Taylor Swift na Justin Bieber ndio waliotamba zaidi kwa kunyakua tuzo
3 kila mmoja ambapo Taylor alishinda Best Female, Best Live and Best
Look.
Justin Bieber, hakuwepo kwenye tuzo hizo lakini alitengenezwa vichwa
vya habari vingi weekend hii kwa habari kuwa ameachana na mpenzi wake
Selena Gomez. Hata hivyo alishinda tuzo 3, Best Male, Best Pop na
Best World Stage.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA