Ngoma mpya ya Rihanna itakayokuwa ndani ya albam yake ijayo,
Unapologetic, imetinga kwenye shamba huria la mtandaoni (internet) jana.
Hii ni mara ya tatu wapenzi hao wa zamani wamefanya kabla tangu Chris
ampige Rihanna mwaka 2009. Ni ngoma fulani hivi ambayo ukiisikia unaweza
kuhisi ni zile nyimbo za miaka ya 70 ama 80.
RIHANNA AMSHIRIKISHA CHRIS BROWN KATIKA WIMBO MPYA..
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, November 16, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA